Tafakari ya Operation UKUTA

Tafakari ya Operation UKUTA

kagina123

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
58
Reaction score
37
*UKUTA HOJA YA MSINGI ILA.JE ITAFANIKIWA*
NA ASAPH S KAGINA

leo tarehe 26/7/2016
chadema imetangaza.oparation iitwayo UKUTA
kwa maazimio ya kukataa kinachoitwa udikiteta wa raisi aliyeko madarakani kwa hoja za
1Ukandamizaji wa vyama vya siasa
2:Kutumia spika kulibana bunge
3matumizi mabaya ya pesa kinyume na.kanuni
4 Manyanyaso na.kuingiliwa kwa mhimili wa mahakama 5 namna.ukusanyaji kodi unavyoendeshwa

Ni hoja.za.msingi kwa.ustawi wa jamii tunahitaji utawala wa sheria, kanuni na.taratibu
Na maendeleo.ya nchi hupimwa.si.kwa GDP peke yake pia kwa ukuaji.wa.demokrasia
Huduma.za jamii na uhuru wa maoni

Sababu za kuanzisha UKUTA zina mashiko
Ila kuna
Maswali ya kujiuliza

1 Ni kwa mda.gani.wataendesha hii oparationi ?
2 watapimaje kama.wamefanikiwa ?
3 Je wananchi watahusika je ?
4 : Mwananchi wa kawaida atanufaika nini na UKUTA?
5 Je wamejipanga je kukabiliana na tamko la kukataza siasa bila ya kusababisha matatizo kwa wanyonge watakao wafuata?

4 Je ni kwa nini wamekaa.wao kama.wao na bila.kushirikisha vyama.washiriki wao
Yaani ukawa ?

Hayo maswali yananirudisha kwenye oparation zilizowahi kifanywa.na chadema
Kama oparation sangara
M4c Nk
Ambazo hazikufika.tamati ila.ziliishia ju kwa juu
Bila kuwa.na.tathimini

Je na hii haitakuwa kama.za kwanza

Ambazo hata hivyo zilikua na.nguvu kwa sababu ya slaa

Baada ya hii oparation nini.cha zaidi
Je
Turudi kutawaliwa.kama.utawala.wa kikwete?

Baada ya maswali hayo

Mm naona badala.ya kuja na UKUTA

Wangepambana na oparation ya kwanza.ya UKAWA
Ambayo.ndilo.siruhisho la kudumu.la.haya.yoote na.lina uhusika wa jamii moja.kwa moja

Siasa za matukio.kama hizi zitakuwa na wakati mgumu kuliko siasa za hoja

Na kama wamechagua UKUTA
Basi waunganishe na UKAWA kwa mkitadha wa kukaa na.kuweka.maazimio.ya.pamoja

Na siyo kuwapa taarifa kama.vile wao hawana mikakati ila.wanasubiri chadema. pia
Na UKUTA usiishie mbele ya camera na keyboard za simu bali ufike chini na uwe na.mipango mikakati
Siyo maono yasiyo na mkakati
*By kagina asaph s.*
 
Agenda za Chadema ni mbili. 1. Demokrasia na 2. Maendeleo.
Kipindi cha nyuma, chama kiliwekeza kwenye agenda ya maendeleo ambazo zinagusa wananchi moja kwa moja...sasa wamebadili NIA na kuanza kuwekeza kwenye kupambania demokrasia...ukweli ni kwamba, wananchi wa chini hawako interested freedom of speech, freedom of expression etc...wanachotaka ni maendeleo- umeme, maji, elimu, afya, ajira etc...chadema ya leo imekuwa "out of touch" na mwananchi wa chini
 
Back
Top Bottom