Tafakari ya Kipanya

Mkiambiwa ukweli mnawabatiza wavuta bangi na kukimbilia kuwakamata. Neno la Mungu halifutiki hata mkiwaua kwani kinachokufa huwa ni mwili tu ila roho inarudi kwa mwenyewe akiyeiumba. Pia jiepusheni na kuwawekea mbaya watumishi wa Mungu. Mtakaporudiwa na mwenye mamlaka mnaishia kudai mmelogwa. Shauri zenu
 
.....Nilicho baini baada ya kuona KIBONZO cha Masoud, ni kwamba WADANGANYIKA tunaongozwa na kutii sheria za nchi kwa VITISHO......Mambo yanapelekwa ndivyo sivyo ila ndoo hivyo hatuna la kufanya.....
 
kipanya ahame clouds,watamfukuza kwa kumkosoa mfalme
 
Ukila rambirambi unageuka jiwe kwa mjibu wa simulizi za babu yangu. hili la Kagera si bure laana yaja.
 
Hivi Unaposema Akamatwe Una Maana Kuwa Wewe Ni Kada Kindakindaki Na Hujawahi Kujua Maana Ya Katuni
Mwenye Uraia Namba Moja Kamkubali Masoud Kipanya
Hamlafu Mtu Ambaye Hujui Ulitendalo Ndiyo Unasema
""Akamatwe"" Siyo Rahisi


Taahira tu huyo hajitambui, akili zimechakaa kama chama chake chakavu
 
Kipanya hajawahi kuchora kikaragosi kinachomhusu Mbowe hata siku moja hata alivyouza Chadema.
 
View attachment 435484


my take he should be arrested hana tofauti na Lema.

Kipanya hajawahi kuchora kikaragosi kinachomhusu Mbowe hata siku moja hata alivyouza Chadema kwa Lowassa
Acha wehu chadema imeuzwa wapi? mkataba upo wapi? hizi hoja uwe na ushahidi nazo sio kuropoka tu UKIMYA WA UKAWA MSIONE WAJINGA SANA
 

1:Kweli
2:Kweli
3;Mbona sioni miwani
4;Tukichora picha kuonesha mwendo(motion) kuna vialama kama vinavoonekana kwenye miguu na mikono ya kipanya. Sasa ukimuangalia mshika rungu utaona motion chini ya kidevu mana yake anaangalia chini akimpiga kipanya rungu na juu/mbele anapopandisha rungu. Ukiangalia rungu lenyewe utaona linaenda chini na juu,.Kwa maana hiyo rungu lina nguvu ila tataizo ni kipanya(anayedaiwa) kuwa mjanja mana ana mbio na akikimbia anainama chini rungu linamkosa.

Wazo langu mshika rungu ili amkamate kipanya(mdaiwa) aweke kizuizi mbele, kipanya asiwe na sehemu ya kukimbilia.

Vizuizi vinaweza kuwa itungwe sheria ambayo itambana mdaiwa kiuchumi endepo muda uliowekwa wa kulipa akiukiuka
1) Muajiri wake anaweza kutusaidia
2) Mabenki wanaweza kuisaidia serikali,kama vile ambapo kuna vile bank moja inavopata taarifa za akaunti yako kwa bank nyingine pind unapotafuta mkopo basi kuwe na taarifa za wadaiwa sugu wa bodi ya mikopo.
3) Wengi wana magari TRA itusaidie kuyafungia magari yao pindi muda elekezi utakapoisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…