ok,sawa mkuu,hata kama ni hivyo ni lazima uende nae muziki??????? Au unataka upolwe tena na mwanamuziki mwimgine????? Elewa kuna musician wataalamu wa kupora vya watu haipiti sekunda,demu wako keshapagawa, sekunde moja kosa. Wewe kazi yako itakuwa kulima wenzio wanavuna? Unalikubali hilo?????????????? Acha abaki homeee. Ataliaaaa weeee atanyamaza, atanunaaaa, mwisho atacheka. Mwisho wa yote atazoea.