Tafakari na picha

Ujasusi kwa sura ya msaada wa urafiki wenye tabasamu la kufurahisha Amani yako. Hii kitu hata maisha ya kawaida inatumaliza.
 
Nchi haiwezi pona Hadi jamhuri yenyewe itakapoanza kujitetea kama taasisi ndio nchi itapona!!

Huwezi kabidhi nchi kwenye Chama kimoja na kukihakikishia madaraka ya mile uakadhani nchi itapona!!
 
Nimekua natazama video za hiki tukio la uzinduzi...Mimi Sina fani yoyote ya kijasusi ila Kuna mambo nmenotisi kwa akili yangu ya kilevii...

*Mkasi wa kukatia utepe..alivyomaliza kukata utepe akashika maeneo ya pua..

*Wakati wa kuingia Kuna giza lilitokea gafla kama kamera ilikua giza gafla

*Mtazameni ponjoro..unapotaka kumuondoa mtu ama uko katika mipango ya kufanya hivyo Kuna lugha ya mwili hua inazungumza tu yenyewe ..sura inazungumza tu yenyewe...wenye macho makali ndio huona...

* Maiki ya njano kwa nyeusi...sielewi kua kwanini mwenyeji aongee na maiki ya nyeusi na mgeni ya njano...

* Security details, yule mwamba aliekua anatembea nae sana mheshmiwa hakuonekana siku hio...why?
 
Mwamba krshaenda waliomuua watalipa na tutakombolewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…