glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,825 Reaction score 4,639 Nov 3, 2017 #21 CHAULA RICH said: Sawa, sema tu sina taaluma ya vitu hivyo, itapaswa nitafute mtaalamu wa ishu hizo. Click to expand... Hapo utawini sana mkuuu do it with excellence
CHAULA RICH said: Sawa, sema tu sina taaluma ya vitu hivyo, itapaswa nitafute mtaalamu wa ishu hizo. Click to expand... Hapo utawini sana mkuuu do it with excellence
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Nov 4, 2017 #22 Tafuta hivi vichwa viwili vinaweza kukushauri vizuri Attachments downloadfile.jpg 36.3 KB · Views: 44
Bizz_sam JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 291 Reaction score 131 Nov 4, 2017 #23 Ungejarib kufanya research mwenyewe lakini wengi humu atujui eneo husika, labda niwaachie watu wenyeji wa huko
Ungejarib kufanya research mwenyewe lakini wengi humu atujui eneo husika, labda niwaachie watu wenyeji wa huko
Smart Technician JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 653 Reaction score 826 Nov 4, 2017 #24 Bizz_sam said: Ungejarib kufanya research mwenyewe lakini wengi humu atujui eneo husika, labda niwaachie watu wenyeji wa huko Click to expand... amenunua kibena hospitali upande gani? au ni kule igagala?
Bizz_sam said: Ungejarib kufanya research mwenyewe lakini wengi humu atujui eneo husika, labda niwaachie watu wenyeji wa huko Click to expand... amenunua kibena hospitali upande gani? au ni kule igagala?
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Nov 5, 2017 Thread starter #25 Smart Technician said: amenunua kibena hospitali upande gani? au ni kule igagala? Click to expand... Mgodechi.
Smart Technician said: amenunua kibena hospitali upande gani? au ni kule igagala? Click to expand... Mgodechi.
Smart Technician JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 653 Reaction score 826 Nov 5, 2017 #26 CHAULA RICH said: Mgodechi. Click to expand... weka nyumba ya kupangisha wagonjwa na hoteli
E Englishlady JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 2,734 Reaction score 3,647 Nov 5, 2017 #27 Unaweza weka biashara ya chakula, vinywaji famasi matunda nk.