Wandugu nimenunua laptop , sasa nashindwa kuconnect na internet ya cable hapa ofisini , pia kila niki install anti virus kaspersky ina kataa ni kiweka activation code.
Kwanza cheki kama una network driver kwenye hiyo laptopyako....
nenda kwenye device manager ndo utajua kama drivers zipo au laaa..kama hakuna driver za network huwezi pata internet kwa kutumia hiyo network cable....
so check kwanza hiyo inshu na ukipata internet ndo utaweza kufanya iyo activation yako..
Unafikiri ni kuchomeka cable na kuanza kutumia net! Unahitaji kufanya configuration kwanza ndo unaweza kupata net, kama hujui jinsi ya kufanya configuration muite IT wa hapo kazini kwenu akusaidie
Pole sana mkuu, kufanya configuration ya network inahitaji ujuzi wa vitu vingi sana, sidhani kama mtu atakuelekeza hapa kifupi halafu ukafanikiwa, kwa sababu anatakiwa awe anajua hiyo computer yako inatumia operating system gani na network driver gani then ajue internet protocol mnayotumia hapo kazini kwenu pamoja na version yake, pia anatakiwa ajue kama ipo encrypted au la ndo akuelekeze jinsi ya ku-configure hiyo networkNdiyo maana nimeuliza hapa hamna IT wala nisingefika JF, asante pia