Nadhani ungekaa naye akuambie shemeji yako hasa ni yupi ili mwingine akitokea kafumaniwa sema ukweli mbele yao. Acha uoga mwanaume mpe ukweli au unahofia kukosa hivyo viofa vya bia na nyama choma unapewa?
Kwann PM na akati wanajuana si amfuate amchane live, mwanaume anakujaje kutoa ujumbe Jf kwa mtu mmoja ilihali anamjua?Huu ujumbe ungekuwa na maana kama ungempelekea muhusika moja kwa moja PM
Baelezee mkuu hawajui mchepuko umeua wengi na wengine wako ICU. Eti nachepuka kwa akili mi naona na huyo friend ake aprint hii mada aipeleke kwa mke wa jamaa kama noma na iwe noma .Sometimes inabidi kubadilika hata kama ndo asili au tabia tuliyojizosha Boyz and girls kuwa na michepuko mingi unajipalilizia natatizo kede kede kwann usitafute msichana ambaye au mvulana anliyekidhi vigezo unavyovitaka? Then utulie nae.
Kwann PM na akati wanajuana si amfuate amchane live, mwanaume anakujaje kutoa ujumbe Jf kwa mtu mmoja ilihali anamjua?
Tarime one,
Mbona kama sijaamini kuwa wewe ni Tarime One? Hivi siku hizi na nyie wanaume wa Tarime hamuoi ila mnaoana na wake zenu kama wazaramo, uumbea wa kike kabisa huo.
USITUDHRIRISHE
Chezea bia wewe, gharama yake inazidi kodi ya nyumba.