Tafadhalini msaada kwenye Nokia N95 8GB

Tafadhalini msaada kwenye Nokia N95 8GB

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
WanaJF mambo vp? Naombeni msaada wenu kwa wenye ujuzi wa simu simu ninayoitumia ni Nokia N95 8GB ya kichina japo ni laini moja na ninapotumia mfumo wa nokia orginal kuangalia model no, na IME inaonyesha kama kawaida.Tatizo la kwanza haifungui bluetooth nikihitaji kufungua inasema INITIALIZING BLUETOOTH NOW,WAIT A MOMENT! Na ninapohitaji kui restore factory default inakataa inaniambia Enter phone lock code.tafadhalini naombeni msaada wenu natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom