Simu kama s6 internal memory yake ina speed hadi zaidi ya mb 200 kwa sekunde, wakati memory zilizojaa mjini ni class 4 (4MBps)
Inamaana unaweza ukaeka memory card ikawa mara 25 ipo slow kuliko memory yako ya simu,
Even ukitafuta class 10 still memory card zipo slow kuliko internal memory na ni moja ya sababu kubwa inayofanya simu zetu ziwe slow, usione manufacture wanaondoa sehemu za sd card ni wajinga.
Nope, manufacturers hawawezi kuwa wajinga na wakani wametengeneza wao hizo simu!
Look, kuwa na speed ktk simu hata ikiwa na internal memory pekee bila kuwa na external memory inatakiwa uweke vitu (applications, personal data) katika mpangilio na mahali vinapostahili kuwepo (partition).
Downloaded videos for example, mp3 and applications lazima ziwe katika sehemu tofauti tofauti..
Kwa mfano tu wa kujiuliza ni kuwa, kama simu ina sehemu ya external memory (removable memory), na inauwezo wa spidi kubwa na internal memory ni kubwa sana, ni kwanini wamekuwekea sehemu ya external memory na sometimes ukidownload huwa unaulizwa "where do u want to save your file"? Why they ask u that?
System Application ya simu kwa mfano.. Utake usitake ni lazima inapofanya kazi huwa inakuwa na temporal file and applications zinajihifadhi somewhere katika simu yako hivyo baadae huwa inakuwa nzito mpaka u clean temporal files!
The same applied to computer..
Na ndio maana kwenye computer hata iwe na memory kubwa (RAM- random access memory) lazima kuwe na temporal files zinajihifadhi somewhere! Ukitaka ku hakikisha open "run" halafu andika %temp% bonyeza "ok" au enter katika keyboard yako..
Narudia ku sisitiza kuwa>
Simu inafanya kazi muda wote uwe umeishika mkononi ama umeiweka kwa masaa yote! Haiachi kufanya kazi..
Inapofanya kazi ndivyo jinsi inavyozidi kuhifadhi vitu vingine (log.files au temp. Files) sehemu flan.. Na ndio maana tunashauriwa sanyingine ukidownload kitu (mara nyingi personal documents) uweke ktk folder na pia..
Usichanyanye system software/ applications software na personal files..
Na pia si lazima simu ilete shida leo.. Inategemea na matumizi yako! Na maanisha, kwa jinsi matumizi yanavyokuwa makubwa ndivyo maintenance ya simu inahitajika..
Kwa mfano mimi na download hadi GB 15 kwa siku kwa kutumia simu yangu na sasaiv ninatumia blackberry nimeongeza speed kwa kuweza ku download GB 20 kwa siku kwa kutumia blackberry unlimited bundle.
Si hadithi ni kweli tupu na nimekuwa nikitoa ushauri kwa watumiaji wa simu na computer sehemu nyingi hata ktk website yangu nimefanya hivyo!
Sijasema ushauri uliotoa au mwingine atakao toa ni batili.. Hapana, ninachosema ni kuwa.. Kila mtumiaji wa simu anapaswa kutazama njia mbali mbali ili kuongeza uwezo wa simu yake..
This is just Ushauri tu, so u can agree or disagree.. Na wala sio siasa!!
Asante kwa walio nipigia simu na sms.. Tumeongea na kuthibitisha mengi..
Mungu awabariki wote
Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums