Tafadhali usipite bila kusoma hapa!

Tafadhali usipite bila kusoma hapa!

imani12

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
31
Reaction score
4
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nimemaliza elimu ya Secondary mwaka 2012. Mimi ni mchapa kazi na mtiifu sana.

Ninatafuta mtu yeyote mwenye kuhitaji kijana wa kazi ya kuuza duka lolote la bidhaa za rejareja au jumla. Nimesomea masomo ya biashara yaani Book-keeping na Commerce.

Pia nimesomea Computer na nina ujuzi mkubwa sana katika Software zifuatazo;

1-Microsoft word
2-Microsoft Excel
3-Microsoft PowerPoint
4-Microsoft Publisher
5-Microsoft Access
6-Internet Explorer

Kwa anayehitaji pia kijana wa Stationary nipo tayari.

NB: Kwa atakayeniajiri awepo Dar-Es-Salaam na kuhusu malipo tutaelewana kwani dhumuni langu kubwa ni kunielekeza na kunijuza maisha ya kujitegemea kwani nitaomba niwe nakaa kwa atakayeniajiri.

Ninaamini kuwa watanzania wenzangu waliopo Dar kila atakayeweza kulisoma tangazo hili atanisaidia kumwambia na mwenzake.

Mawasiliano yangu ni
0757191544
0655191544
 
Sijaona kwenye tangazo lako jinsia yako? Wewe ni kijana wa miaka 21, mwanamke au mwanaume?
 
Nimesoma usijali Mungu atawezesha
 
Nakuombea apatikane wa kukuajili...we in the same age but i couldnt think of this method..be blessed brother.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom