Habarini za jioni wakuu? Ninaombeni kama kuna mtu ni diploma holda, FTC au NTA Level 6 au mwenye ndg ambaye anasifa tajwaa anayetaka kuaply kusoma degree tuwasiliane nimpe PAYMENT ID. kwa bahati mbaya nillipia nacte badala ya tcu wakati wanaotakiwa kulipia nacte ni wenye sifa nilizotaja. Tafadhalini naombeni sana msaada wenu wakuu..
Nimejaribu kuwapigia nacte sana bila mafanikio. Hats simu haipokelewi.
Nimejaribu kuwapigia nacte sana bila mafanikio. Hats simu haipokelewi.