natumain mu wazima kwa wagonjwa polen
nilikua na mahusiano na kaka mmoja kifupi tulipenda bt baada ya kupata ujauzito tukawa hatuelewan bila hata sababu ugomvi kila siku hata usiokua na maana hatukua tunaishi pamoja tulikua tunaishi mikoa tofauti
kama wiki 3 zimepita mdogo wake katusululisha yameisha na nimeamua nikae nae mpaka hapo nitakapojifungua nitaona cha kufanya ujauzito una miez 5
point
tangu nimefika mwenzangu hana kabisa mapenzi na mimi, mapenzi yamepungua kabisa kwangu tangu nimepata ujauzito napenda kula udongo jana kauona kasema SITAKI UDONGO NYUMBANI NDANI KWANGU.
nimejaribu kumuelewesha unatokea nataman tu hata mimi siipendi hanielewi kabisa inshort hana mapenzi na mimi
wanajamvi nifanyeje nimrudishe katika hali yake ya kawaida??? nifanyeje ili upendo urudi najitahidi sana kumuonyesha nampenda namjali bt hayumo kabisa niongeze wapi ndugu zanguni????
SAMAHANI KWA KUWACHOSHA TUVUMILIANE TU JAMANI.
pole sana dea usiumize kichwa huyo hana mpango na ww,kama unajiweza kujitunza rudi tu kwako hapo kakupend alikuwa anakutumia tunatumain mu wazima kwa wagonjwa polen
nilikua na mahusiano na kaka mmoja kifupi tulipenda bt baada ya kupata ujauzito tukawa hatuelewan bila hata sababu ugomvi kila siku hata usiokua na maana hatukua tunaishi pamoja tulikua tunaishi mikoa tofauti
kama wiki 3 zimepita mdogo wake katusululisha yameisha na nimeamua nikae nae mpaka hapo nitakapojifungua nitaona cha kufanya ujauzito una miez 5
point
tangu nimefika mwenzangu hana kabisa mapenzi na mimi, mapenzi yamepungua kabisa kwangu tangu nimepata ujauzito napenda kula udongo jana kauona kasema SITAKI UDONGO NYUMBANI NDANI KWANGU.
nimejaribu kumuelewesha unatokea nataman tu hata mimi siipendi hanielewi kabisa inshort hana mapenzi na mimi
wanajamvi nifanyeje nimrudishe katika hali yake ya kawaida??? nifanyeje ili upendo urudi najitahidi sana kumuonyesha nampenda namjali bt hayumo kabisa niongeze wapi ndugu zanguni????
SAMAHANI KWA KUWACHOSHA TUVUMILIANE TU JAMANI.
....kwani hana "hela"mbona hayo mambo madogo tu wewe vumilia.....
Inavyoonekana alikua anakupenda kwa ajili ya kumstarehesha n hakua na plan na wewe for future. Amejilazimisha kukuweka ndani na kuilea mimba na hana mapenzi kabisa. Ubaya wake ni kuwa anaonyesha kabisa kuwa hakupendi[/
QUOTE]
kama ni hivyo kwanini alinipeleka kwao before na kunitambulisha na pete ya uchumba alinivisha tena mbele ya kanisa
Acheni kutegeshea watu mimba kwa kudhani ndio penzi litaongezeka.
Kwani Ulipomkubalia Ulitaka Mapenzi Tu.HATA HIVYO HAYO NDO MATOKEO YA ZINAA.mama pita said:pesa si mapenzi
kama ni hivyo kwanini alinipeleka kwao before na kunitambulisha na pete ya uchumba alinivisha tena mbele ya kanisa
tutajuaje huenda wewe ndo ulimlazimisha akupeleke kwao.
Mabint wa kileo shida sana. Ving'ang'anizi.
Alikupeleke ili uridhike, wewe ukatenga na mimba.
Ona sasa.
Kumbe ndio mnavyowaza???? Mkistareheshana hamkujua kuna ujauzito ??? Hapo hakuna cha kulaumiana wote wana makosa wavumiliane
Kiufupi hamkupendana.....
Bali ulimpenda....
Mwenzio alikuwa anaponea tu... saaa hivi ndo anaona unamkera...
Chakufanya mama pita (mama yake na pita) tafuta ustaarabu wako mdogo mdogo kiufupi jipange namna utakavyoishi baada ya kujifungua.... then ukiwa tayari mpange na mwenzio jinsi mtakavyomlea mtoto
La sivyo utaendelea kunyanyasika tu hapo