Tafadhali sana, naomba usicheke

Nimetabasam ila nashindwa jinsi ya kuandika jinsi nilivyotabasamu...
 
Hii kali

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
washkaji, mbona mnavunja masharti ya mganga??

:director:Masharti yako hayawezi kuzingatiwa maana kabla ya kusoma nilikuwa nacheka na nilipoona ulichobandika, nimeshindwa kununa
 
mganga mwenyewe anacheka wagonjwa watafanyaje? heri mimi sijasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…