hamjunior Senior Member Joined Nov 4, 2016 Posts 102 Reaction score 37 Mar 2, 2017 #1 nawezaje jua friends au kuapata marafika ndani ya fb walio karibu na eneo ninalo ishi
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,932 Reaction score 34,916 Mar 2, 2017 #2 hamjunior said: nawezaje jua friends au kuapata marafika ndani ya fb walio karibu na eneo ninalo ishi Click to expand... Nenda kwenye Find friends - Click, halafu watakuletea options na hiyo ya marafiki walio karibu nawe itakuwepo
hamjunior said: nawezaje jua friends au kuapata marafika ndani ya fb walio karibu na eneo ninalo ishi Click to expand... Nenda kwenye Find friends - Click, halafu watakuletea options na hiyo ya marafiki walio karibu nawe itakuwepo
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,149 Reaction score 9,969 Mar 2, 2017 #3 hamjunior said: nawezaje jua friends au kuapata marafika ndani ya fb walio karibu na eneo ninalo ishi Click to expand... Fuata ushauri wa mkuu Mkaruka na hakikisha pia uwe umewasha GPRS location ili FB iweze kutambua vizuri eneo ulipo na watu walio jirani na eneo lako
hamjunior said: nawezaje jua friends au kuapata marafika ndani ya fb walio karibu na eneo ninalo ishi Click to expand... Fuata ushauri wa mkuu Mkaruka na hakikisha pia uwe umewasha GPRS location ili FB iweze kutambua vizuri eneo ulipo na watu walio jirani na eneo lako
hamjunior Senior Member Joined Nov 4, 2016 Posts 102 Reaction score 37 Mar 2, 2017 Thread starter #4 sawa ila iyo sehem ya find friend mbona siioni
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,539 Mar 2, 2017 #5 hamjunior said: sawa ila iyo sehem ya find friend mbona siioni Click to expand... Ipo bhana acha uvivu. Ina maana haipo kwako tu.
hamjunior said: sawa ila iyo sehem ya find friend mbona siioni Click to expand... Ipo bhana acha uvivu. Ina maana haipo kwako tu.
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,149 Reaction score 9,969 Mar 2, 2017 #6 hamjunior said: sawa ila iyo sehem ya find friend mbona siioni Click to expand... Click juu kulia mwa facebook yako kama unaenda kuangalia profile yako ambapo wameandka "View your profile" chini yake sasa utaona neno "Nearby friends" click hapo ndo utakuta unachokitaka.
hamjunior said: sawa ila iyo sehem ya find friend mbona siioni Click to expand... Click juu kulia mwa facebook yako kama unaenda kuangalia profile yako ambapo wameandka "View your profile" chini yake sasa utaona neno "Nearby friends" click hapo ndo utakuta unachokitaka.
Goodluck TZ JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 1,448 Reaction score 662 Mar 2, 2017 #7 weka eneo sahihi unal0ishi yaani h0me city na birth city au import fr0m y0ur c0ntact
hamjunior Senior Member Joined Nov 4, 2016 Posts 102 Reaction score 37 Mar 2, 2017 Thread starter #8 apo nimefika ila inaleta wa mbali na nilipo au ni mpaka awe friend wako
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,932 Reaction score 34,916 Mar 2, 2017 #9 hamjunior said: apo nimefika ila inaleta wa mbali na nilipo au ni mpaka awe friend wako Click to expand... Kwenye profile yako umeandika taarifa za kweli ?
hamjunior said: apo nimefika ila inaleta wa mbali na nilipo au ni mpaka awe friend wako Click to expand... Kwenye profile yako umeandika taarifa za kweli ?
esterpatric Member Joined Feb 20, 2017 Posts 7 Reaction score 1 Mar 2, 2017 #10 Hasa ata click vp wakati anachat na sie hapa? [emoji3]