Vitu used mfano vitanda, magodoro, redio n.kVitu vya used au wizi liweke SAwa hili
Think out of the box,kalunya kakupa clueVitu used mfano vitanda, magodoro, redio n.k
Mara nyingi watu wanahama wanashundwa vitu wavipeleke wapi lkn pia wanachuo wakimaliza masomo huwa wanashindw vitu wavipelek wapi hali kadhalika kuna wanao ishiwa pesa wanaona ngoja wasukume tv, shida inakuja utamuuzia nani.
Mi nikiwa na center nitawarahisishia.
Karibu kwa maoni hasi au chanya.!
Take risk mkuu. No risk no pay. Kila kitu hata mazao yanaweza kuibwa mahali nawe ukaletewa mzigo.Vitu used mfano vitanda, magodoro, redio n.k
Mara nyingi watu wanahama wanashundwa vitu wavipeleke wapi lkn pia wanachuo wakimaliza masomo huwa wanashindw vitu wavipelek wapi hali kadhalika kuna wanao ishiwa pesa wanaona ngoja wasukume tv, shida inakuja utamuuzia nani.
Mi nikiwa na center nitawarahisishia.
Karibu kwa maoni hasi au chanya.!
Asante umeniongezea courage na mbinu ya utambulisho wa mtaa ni muhimu.!!Take risk mkuu. No risk no pay. Kila kitu hata mazao yanaweza kuibwa mahali nawe ukaletewa mzigo.
Kupunguza kuletewa vitu vya wizi, hakikisha anayekuletea ana documents (receipts kama inawezekana) na utambulisho wa mtaa/anafahamika kwa uongozi wa mtaa.
Kwa chombo Cha moto, fatilia TRA taarifa za mmiliki halali na usinunue chombo ambacho hakijabadilishwa umiliki......
Maisha yafaa Nini bila kurisk....!
umesema fact lkn Vipi nikiisajili na kuwa na mashine ya efd haiwezi kusaidia najua polisi kuitwa itakua mara kwa mara ila nafikir kikubwa ni kuwa na vielelezo vya kunilinda.Think out of the box,kalunya kakupa clue
Ni rahisi kununua kesi baada ya kuuziwa viti vya wizi.
Utajikuta unaishia polisi kila mara
Hapo itakusaidia sana sajili kama kampuni au business name kazi yako ni kununua na kuuza.anayekuuzia mnaandikishana,utakwepa mtego wa kulala ndaniumesema fact lkn Vipi nikiisajili na kuwa na mashine ya efd haiwezi kusaidia najua polisi kuitwa itakua mara kwa mara ila nafikir kikubwa ni kuwa na vielelezo vya kunilinda.