colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,438
- 2,929
- Thread starter
-
- #21
Chuo gani ....kinatoa community health?Community Health haina deal kabisa ingawa angeweza pata. Siamini kama anapenda afya kutoka moyoni. Atakuwa anapenda kisa anasikia kuna nafasi nzuri ya kupata ajira. Nashauri jua anaelekea kuweza nini then mpeleke chuo chenye tija. Ukishindwa kupata chuo chukua ADA mwanzishie BIASHARA. Najua inauma lakini ni maradufu kuliko kwenda kozi za kichawi kujitia umasikini.
Mwambie kwa sasa hakuna kitu kiko marketable maana watu waliomaliza mtaani wako kibao yeye ni nani wakupata kitu marketable cha msingi akasome chochote kinachohusiana na biashara maana marketable ni akili ya mtu tuHabari za muda huu wakuu,
Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake.
Matokeo ni kama ifuatavyo:
Civics D
History D
English D
PhysicsD
Biology C
Math F
Geog F
Natumai nitapata msaada wa mawazo kwa hili
Mbarikiwe wote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilikuwa na manzi wangu anauza madawa baridi alisoma kozi hiyo yuko Tabora sahivi. Kwao Karagwe hebu niulize alisoma wapi, probably ni around Kagera, Mwanza, Geita. Kesho ntakupa mrejesho.
Muulize yeye anapenda kusomea nini, usimchagulie wewe.Habari za muda huu wakuu,
Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake.
Matokeo ni kama ifuatavyo:
Civics D
History D
English D
PhysicsD
Biology C
Math F
Geog F
Natumai nitapata msaada wa mawazo kwa hili
Mbarikiwe wote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitashkuru mkuuMkuu nilikuwa na manzi wangu anauza madawa baridi alisoma kozi hiyo yuko Tabora sahivi. Kwao Karagwe hebu niulize alisoma wapi, probably ni around Kagera, Mwanza, Geita. Kesho ntakupa mrejesho.
Amekujibu kwa dharau lakin umemwonyesha ukomavu mzuri Sana nadhan atajifunza kituAsnte kwa ushaur ila sitak nimpeleke veta ....hivi hakuna option nyengin
Sent using Jamii Forums mobile app
Karma will teach you I swearMtu kafeli hivyo bado unaulizia chuo kizuri na course yenye marketi, we mzee vipi? Mwambie atafute kozi za kuzibua vyoo
Jifunze kabla maisha hayajakufunzaMsemakweli ni mapenzi wa Mungu, mpumbavu hupenda kuambiwa uongo wenye kufurahisha
Mkuu chakukushauri mpeleke chuo cha mipango dodoma ambacho kinatoa course ambaya inaweza ikamsaidi katika ajira lakini pia ata kujiajiri mweyew asome development planningzHabari za muda huu wakuu,
Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake.
Matokeo ni kama ifuatavyo:
Civics D
History D
English D
PhysicsD
Biology C
Math F
Geog F
Natumai nitapata msaada wa mawazo kwa hili
Mbarikiwe wote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Makamo haya kijana, endelea kusema uongo wenye kufurahisha utaona mabinti wako wote wataishia kuwa wauzaji
Ndiyo maana mabinti wangu wote wanne wamemaliza vyuo vikuu, ukweli uliwasaidia Sana, nilikuwa nawaambia ukicheza na shule utakuwa msafisha vyoo au Malaya Sasa wananishukuru
Kama utanielewa hapo kozi zitakozomsaidia ni mbili tu kama cyo tatu nursing na phamancy my bro kama unanafs mpleke akasome mojawapo utanikumbka binafs nimwajira lakin kozi hzo kwa ujumla ni makertable sanaHabari za muda huu wakuu,
Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake.
Matokeo ni kama ifuatavyo:
Civics D
History D
English D
PhysicsD
Biology C
Math F
Geog F
Natumai nitapata msaada wa mawazo kwa hili
Mbarikiwe wote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hizo pass zake hapo unahis anaweza pata nursing??Kama utanielewa hapo kozi zitakozomsaidia ni mbili tu kama cyo tatu nursing na phamancy my bro kama unanafs mpleke akasome mojawapo utanikumbka binafs nimwajira lakin kozi hzo kwa ujumla ni makertable sana
Sent using Jamii Forums mobile app