Nenda kwenye kipengele cha preview your details,download hiyo complete form kisha saini vipengele vinavyokuhusu pamoja na mdhamini wako na yeye asaini.
Baada ya hapo peleka kwa mwenyekiti wako wa mtaa au kijiji naye akusainie kukuwekea muhuli na mwisho peleka kwa akimu au mwanashelia wakusainie na kukuwekea muhuli.Mwisho kabisa uta scan hizo page no2 & no5 na kuzihataji katika hivyo vipengele.
Next time,soma mwongozo vizuri na uelewe...!