Tafadhali isomwe na wanaume tu - inawahusu zaidi

na wanawake wenye akili huwa hawaombi hela ..huwa wanaombwa kupokea hela... hope umenielewa...
 
Smile mie ndio hapo ninaposhindwa kuwaelewa hawa viumbe jamani......wakiombwa wanavuta midomo,maneno hayawaishi midomoni. Sasa kwa wengine tusioweza kuomba mbona mnashindwa hata kutoa wenye kwa upendo tu?na hasa ukijua huyu mtu ana majukumu na anajitahidi kufanya kila kitu mwenyewe bila kukuomba yani unashindwa kusema hata chukua hii sh kumi itakusaidia???!!!!! sijui mkoje!!!!!!!!!!
Saizi yenu mnapopata wanaowaomba omba maana mmezidi ubahili
 
Last edited by a moderator:
hao wanaokataa kutoa sio wanaume wa ukweli
 
mwanaume anaehesabia hela kwenye wallet sio kabisa..
mwanaume wa ukweli anaweka wallet mezani anakwambia hesabu za matumizi baibi wangu au anakupa card yake ukatoe kiasi chako cha matumizi ....
nyie mnaombwa vocha tu mnalia huku mtafika kweli?

mh,mi simo
 
hao wanaokataa kutoa sio wanaume wa ukweli

Kabisaaaa....wezi tuuu
Halafu eti wanapenda wakuone umependeza ili wapate misifa kama vile yeye ndio anakulea,mijinga kweli! Hamna kitu inanikera kama nikutane na mtu halafu ananiambia daaahhh umependeza sana nani huyo anahudumia?:A S angry: hivi nyie vichwa ngumu mnafikiri kila mwanamke mnaemuona anahudumiwa??!!!!allaaah
 
ndege wafafanao huruka pamoja, hebe jikague aina gani ya wanawake unaowatongoza
 
mwanaume anaehesabia hela kwenye wallet sio kabisa..
mwanaume wa ukweli anaweka wallet mezani anakwambia hesabu za matumizi baibi wangu au anakupa card yake ukatoe kiasi chako cha matumizi ....
nyie mnaombwa vocha tu mnalia huku mtafika kweli?
Ahhhhh wapi!!! Haipo hiyo! Labda katoka kuuza ng'ombe wake usukumani!
 
Mi kuna mmoja alionomba laki hivi majuzi nikamwambia nina fifty tu kwa muda ule akasema 'acha ubahili mchaga wewe' akagoma kukutana na mimi kwa kusingizia ameitwa na supervisor wake. Ni hatari!
Kaka huyo unatupia kule fasta pasipo kuremba!
 
Hapa nimepita tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…