Tafadhali Braza Zitto usiwasaliti WaTZ. Hiyo ni Dhluma. Mungu Hapendi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali Braza Zitto usiwasaliti WaTZ. Hiyo ni Dhluma. Mungu Hapendi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Jul 4, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama shibuda ni bakuli tupu kabisa. watanzania hatuhitaji misemo wala nahau zake. kama anataka nahau aende kwenye chama cha mwana-nahau mwenzake kikwete wakapige porojo za misemo:

  ukitaka kula sharti uliwe.
  tunajenga nyumba moja ya nini kugombea fito.
  sijui nini na nini....

  hatutaki.

  Watanzania tunaotaka mabadiliko tupo. Tunahitaji sapoti yenu viongozi wetu.

  Keep it up Zitto.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hivi hapa Zitto anahusika nini?
  Au ulitaka kumtaja Shibuda?
  Jamani, mpumzisheni huyu Mh Zitto!
   
 3. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Amemtaja zitto labda kwa sababu aliliongelea sawala la Shibuda kufukuzwa
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hii thread ni utumbo, pumba, upuuzi, crap! Mods mpo wapi?
   
 5. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani shibuda anakuwa hana adabu kwa watu wenye hadhi ya Prof. Baregu?
   
 6. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Sielewi hapa Zitto anahusika vipi?
   
 7. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Fillipo umepata wapi mamlaka ya kuhukumu?
   
Loading...