Tafadhali anayefahamu CV za mbunge wa Namanyere Bw.Ally Kessy

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Ndugu wadau ninaomba kufahau "CV "(Sifa) za Bw.Ally Kessy Mbunge wa Namanyere mkoani Rukwa.

Imenilazimu kufanya hivyo kutokana Na wasiwasi nilionao Juu ya uwezo wa Mbunge huyu kutokana na kauli zake awapo bungeni.
Nikipata CV yake kuna kitu nitasema.
 
Ndugu wadau ninaomba kufahau "CV "(Sifa) za Bw.Ally Messy Mbunge wa Namanyere mkoani Rukwa.Imenilazimu kufanya hivyo kutokana Na wasiwasi nilionao Juu ya uwezo wa Mbunge huyu kutokana na kauli zake SWAPO bungeni.Nikipata CV yake kuna kitu nitasema

Tunaomba pia uweke na yako kwanza ila tunapopewa taarifa tuweze kujudge na mtoaji pia
 
Huyu ni mfanyabiashara wa mafuta na uvuvi huko Kirando na kapalamsenga...alikuwa diwani then ubunge...anapiga kazi na ni mashuhri sana maana anaishi na watu wake mwanzo mwisho...ni Darasa la nne zamani ...hakuwahi kwenda sekondari katu katu....usipoteze muda hiyo ndo CV yake...anamitumbwi mingi ya uvuvi kwenda huko kalemii Kongo...halipi kodi inavyopaswa kama sikosei...not sure ila ni hard working...
 
Ndugu wadau ninaomba kufahau "CV "(Sifa) za Bw.Ally Kessy Mbunge wa Namanyere mkoani Rukwa.

Imenilazimu kufanya hivyo kutokana Na wasiwasi nilionao Juu ya uwezo wa Mbunge huyu kutokana na kauli zake awapo bungeni.
Nikipata CV yake kuna kitu nitasema.
Madrasa Quba basi!
 
Back
Top Bottom