emmanuel magige
Member
- Jul 14, 2012
- 60
- 4
huyo mwanamke hakutaki na ataendelea kukutesa.maybe atakuwa na mtu mwengine,ni vizuri uachane nae,au upo tayari kuendelea kujitesa?najua ni ngumu ila piga moyo konde na uachane nae
huyo mwanamke hakutaki na ataendelea kukutesa.maybe atakuwa na mtu mwengine,ni vizuri uachane nae,au upo tayari kuendelea kujitesa?najua ni ngumu ila piga moyo konde na uachane nae
Na ww c umuache tuu! Ww mkaushie tuu kwanza uone response yake! Muda mwingine inabidi uchukue maamuzi magumu
smtimz ni vigumu sana kuachana na mtu unayempenda, hasa ukiwa hauko tayari! lakini mkuu, hayo mambo yote ni viashiria kwamba hakupendi tena au kaisha pata mtu...jaribu kuwa makini coz unaweza kujikuta unapoteza muda mwingi na kupata magonjwa bure
Tafuta muda ukae nae face to face muongee ujue mbivu na mbichi......kama mbwai mbwai tu bana ukiona vp achana nae,
Hatua hiyo ndiyo ya kuonyesha kwamba wewe ni mwanaume na unaweza kufanya maamuzi magumu. Kitendo chochote cha kumbembeleza au kumpigia simu kitaendelea kukudhalilisha na kukuumiza.
Imetosha sasa ..............Piga moyo konde move on!