nKo nJiA pAnDA Ungekuwa ww ungefanyaje, Tafadhal ushaur wk ni Muhimu sna!!!


double click

double click

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
157
Points
195
double click

double click

Senior Member
Joined Oct 12, 2012
157 195
Mie ni kijana wa kiume Mwenye umr wa Miaka 23 nna mpenz ambao ana miaka 22. Huyu mpnz Wng Yupo masomon Arusha na mm nko Morogoro{ mie sisom} toka ktk mahusiano takriban mwaka mmoja na nusu.
Huyu mpnz wng ana tabia ambazo sizipend. Anapokosea nikimwambia anachukia na huwa hatak kuongea chochote nikizd kumsema huwa anakata cmu na kuizima kabisa na huwa hayuko tayar kuomba msamaha. Kuna wakat huwa 2nagombana inafka wakat ananiambia naomba tuachane
Wana jamvi cyo siri nampenda sn huyu mwanamke lakn tabia zk zimenichosha nimevumilia sna sasa naelekea kuchoka ni wakat na mm kufanya maamuz magumu, nahc kuwa huyu Mwanamke atakuwa amenichoka.
Naomba ushaur, maon yk na hata mawazo yk kwa yyt yule aliyesoma thread hii. Mawazo na ushaur wk ndio utakao okoa maisha yng.
Nko Njia panda
 
Wingu

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
4,323
Points
1,225
Wingu

Wingu

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
4,323 1,225
Anakudharau huyo.Na kinachokuuma sio kwa sababu una mpenda sana ila gharama unazoingia mfukoni cha kufanya na tafuta chapembeni uwe unajimegea kamwe hutakaa ukasikia uchungu wala kuumia roho.Fanya hivyo sasa hivi
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,230
Points
2,000
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,230 2,000
Mbona ulishawah kuileta hapa kwa ID nyingine........Kulikoni bado unakubali kupelekeshwa?
 
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
5,762
Points
1,250
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
5,762 1,250
Dalili ya mvua n mawingu, na dalili ya mpezi kukuchoka ni dharau umeni soma dogo?
 
Babarita

Babarita

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Messages
375
Points
225
Babarita

Babarita

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2011
375 225
Piga chini iyo k si yako tena kuna mdau anamega shituka mkuu
 
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
2,709
Points
1,225
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
2,709 1,225
Ya nini ujilazimishe kuwa na mtu ambaye anakukwaza??

Isitoshe wewe bado kijana mdogo, usijipe presha ya kubembeleza mtu asiye na mwelekeo..!!
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,240
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,240 2,000
Fimbo ya mbali haiui nyoka! Waliokaribu na mpenzi wako wanatumia fimbo kuua nyoka pangoni iliyobaki ujipange tu watu wanakusaidia kumpa dushelele.
 
double click

double click

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
157
Points
195
double click

double click

Senior Member
Joined Oct 12, 2012
157 195
Anakudharau huyo.Na kinachokuuma sio kwa sababu una mpenda sana ila gharama unazoingia mfukoni cha kufanya na tafuta chapembeni uwe unajimegea kamwe hutakaa ukasikia uchungu wala kuumia roho.Fanya hivyo sasa hivi
Unalosema ni kwel unajua kuna wakat huwa nafikiria kucheat lakn naona cyo poa?
 
double click

double click

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
157
Points
195
double click

double click

Senior Member
Joined Oct 12, 2012
157 195
Anakudharau huyo.Na kinachokuuma sio kwa sababu una mpenda sana ila gharama unazoingia mfukoni cha kufanya na tafuta chapembeni uwe unajimegea kamwe hutakaa ukasikia uchungu wala kuumia roho.Fanya hivyo sasa hivi
Unalosema ni kwel unajua kuna wakat huwa nafikiria kucheat lakn naona cyo poa?
 
double click

double click

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
157
Points
195
double click

double click

Senior Member
Joined Oct 12, 2012
157 195
Ya nini ujilazimishe kuwa na mtu ambaye anakukwaza??

Isitoshe wewe bado kijana mdogo, usijipe presha ya kubembeleza mtu asiye na mwelekeo..!!
Ahsante Neylu
 
Last edited by a moderator:
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
7,903
Points
2,000
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
7,903 2,000
ah pilw kijana...haya mambo ya kutafuta moyo wa mwenzako umelalia upande gani nani anayataka....wee kamatia hapo matombo demu ujienjoy mwana....huyo wa arusha ana gegedwa na wanafunzi wenzake.
 
O

obwato

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
1,189
Points
1,195
Age
43
O

obwato

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
1,189 1,195
Jikatae mapema sana dogo kabla hayajakukuta makubwa. Mademu wengine wakiwa na kaelimu kidogo alafu wewe ni wa kitaa tu wanakuona sio taipu yao ila anakusaidia tu ipo siku atakuonesha laivu aliye taipu yake so jiondoe mwenyewe kabla hujakwangua viakiba vyote. Kuna rafiki yangu yamemkuta hayo kaangaika kuiba visenti vya baba yake mpaka kafirisi ofisi demu alikuwa anasoma mipango Dom jamaa kila wkend anampandia mwisho wa siku katambulishwa rasmi 'mwenye mali' ukouko Dom karudi mpoleee, kwa sasa jamaa kachanganyikiwa kabisa na mdingi kamtimua ofisini anazugazuga tu mitaani.
 

Forum statistics

Threads 1,296,633
Members 498,713
Posts 31,254,458
Top