TAESA HATARI

TAESA HATARI

Internship lengo kuu ni kupata ujuzi na uzoefu. Usitangulize pesa mbele ila hakikisha unapata experience na skill set muhimu kwa ajili ya harakati zako huko mbeleni.
 
i know bt mkataba unasema apewe hela za usafir na kujikimu mkuu,mkataba ndo unavyosema so u mean intern halipw chochote,umeckia wap intern halipwi?
 
Mkuu, nashauri kama umeona hutendewi haki ni vema ukaachana nao ukaendelea na shughuli zako nyingine. Si vema kupoteza muda sehemu ambayo haki yako haiheshimiwi.
 
mkuu nakuelewa sana kiongozi,nilifuatlia utaratbu wote nilikuw mimi na wenzangu bt hatukupewa haki ya malipo,ikafka kipind hadi wakablock namba zetu mm nikaona sawa ts fyn acha wanidhulumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom