Taddeo Lwanga atwaa tuzo Uganda

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
1,008
2,384
Mchezaji Taddeo Lwanga amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Uganda na kujinyakulia tuzo ambayo inayotolewa na Football256.

Lwanga ametwaa tuzo hiyo akiwapiku wapinzani wake wa karibu Eric Kambale (Express) na Yunus Sentamu (Vipers)

======

Simba SC and Uganda Cranes midfielder Taddeo Lwanga has been declared the 256 Footballer of the Year, 2021 beating forwards in Express FC’s Eric Kambale and Vipers SC’ Yunus Sentamu. The midfield colossus amassed 468, 631 votes from the 1,124,568, Kambale came in second with 399,426 while Ssentamu was third with 256,529 votes. Lwanga is … The post Taddeo Lwanga: The 256 FOTY Winner, 2021 appeared first on Latest football news in Uganda

Simba SC and Uganda Cranes midfielder Taddeo Lwanga has been declared the 256 Footballer of the Year, 2021 beating forwards in Express FC’s Eric Kambale and Vipers SC’ Yunus Sentamu.

The midfield colossus amassed 468, 631 votes from the 1,124,568, Kambale came in second with 399,426 while Ssentamu was third with 256,529 votes.

Lwanga is the third winner of the award taking over from Nicholas Wadada and Allan Okello who scooped it in 2020 and 2019 respectively.

XW9A4251_11zon-1-1024x791.jpg

The former Vipers SC skipper dedicated the award to his fallen sister Agnes Nakityo; “This is for my late sister, Agnes Nakityo.”
“I dedicate it to her, she should have been here to see me succeed and take awards,” an emotional Lwanga said.

“It would not have been possible to take this award without the support of my family, coaches, teammates, and most importantly, the fans.”

“This means a whole lot to me and I can only work harder to better my game,” Lwanga noted before adding.

“I sincerely thank the management of Football256 for the recognition. It is an honour that they recognize local talent and hard work.”

XW9A4129-1024x798.jpg

To take home the accolade, Lwanga had clinched the domestic double at Simba after winning the Tanzania Premier League and FA Cup trophies.

He also helped the Tanzanian powerhouse sail as far as the quarterfinals of the 2020/21 CAF champions league before being eliminated by Kaizer Chiefs courtesy of a 4-3 aggregate scoreline.

The champions league journey included topping group A with 13 points ahead of giants Al Ahly who garnered 11.

However, Lwanga and Simba have kick-started the 2021/22 Tanzania Premier League in a quieter fashion, occupying second place with 11 points after five matches, four adrift of Young Africans who are on 15.
 
Tukiwaambia Aucho ni takataka hawatuewi.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Aucho katika klabu yake hakupata game time kutokana na mgogoro dhidi ya timu yake ambayo ilisababishwa kutokana na malimbikizo ya mishahara.

Hata ukiangalia nominees jamaa hakuepo na angekuepo jamaa angeshinda tu.
 
Hata Okwi angekuwepo angeshinda. Ni mwendo wa nge nge nge 😂😂
 
Hata Okwi angekuwepo angeshinda. Ni mwendo wa nge nge nge
Okwi hakua na msimu mzuri last season ndio maana hata hakuwepo kwenye nominees,Hata ivyo jamaa age inamtupa mkono kwahyo performance yake imeshuka sana.
 
Aucho na Okwi wote wana age sawa 28 yrs au ndo mambo yale yale ya kudanganya umri nini?
Okwi hakua na msimu mzuri last season ndio maana hata hakuwepo kwenye nominees,Hata ivyo jamaa age inamtupa mkono kwahyo performance yake imeshuka sana.
 
Okwi hakua na msimu mzuri last season ndio maana hata hakuwepo kwenye nominees,Hata ivyo jamaa age inamtupa mkono kwahyo performance yake imeshuka sana.
Hoja ni 'nge', kwa hiyo Okwi angekuwa na msimu mzuri na angekuwa na age ndogo angeshinda au 'nge' inatumika kwa Aucho tu?
 
Hoja ni 'nge', kwa hiyo Okwi angekuwa na msimu mzuri na angekuwa na age ndogo angeshinda au 'nge' inatumika kwa Aucho tu?
Yeah!! Hata okwi angekua na msimu mzuri kuliko Lwanga pia angechukua

Hoja ilikua Lwanga kuchukua tuzo mbele ya Aucho.Ndo nikawa nakupa hizo sababu kua jamaa angekua amecheza mechi za kutosha kwenye timu yake angechukua hiyo tuzo maana ubora wake sote tunaujua.

Hata kwenye national team jamaa panga pangua dhidi ya Lwanga.
 
Aucho ana tuzo ngapi za mchezaji bora wa Uganda?
 
Yeah!! Hata okwi angekua na msimu mzuri kuliko Lwanga pia angechukua

Hoja ilikua Lwanga kuchukua tuzo mbele ya Aucho.Ndo nikawa nakupa hizo sababu kua jamaa angekua amecheza mechi za kutosha kwenye timu yake angechukua hiyo tuzo maana ubora wake sote tunaujua.

Hata kwenye national team jamaa panga pangua dhidi ya Lwanga.
Panga pangua dhidi ya Lwanga?
Kipindi ambacho lwanga yupo Injury.....
Wakiwa wote wazima ni Thadeo lwanga atacheza au wote.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Yeah!! Hata okwi angekua na msimu mzuri kuliko Lwanga pia angechukua

Hoja ilikua Lwanga kuchukua tuzo mbele ya Aucho.Ndo nikawa nakupa hizo sababu kua jamaa angekua amecheza mechi za kutosha kwenye timu yake angechukua hiyo tuzo maana ubora wake sote tunaujua.

Hata kwenye national team jamaa panga pangua dhidi ya Lwanga.
Amewahi chukua mara ngapi hiyo tuzo ya mchezaji bora wa uganda au uwezo wake umeanza kuimarika miezi miwili iliyopita baada ya kutua yanga?
 
Back
Top Bottom