Tabora: Mkuu wa Mkoa azitaka taasisi 20 kuandika barua ya kujieleza kwa kushindwa kushiriki shughuli muhimu za Serikali

Tabora: Mkuu wa Mkoa azitaka taasisi 20 kuandika barua ya kujieleza kwa kushindwa kushiriki shughuli muhimu za Serikali

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amezielekeza taasisi serikali zaidi ya 20 mkoani humo kuandika barua na kujieleza kwa nini zimeshindwa kushiriki katika shughuli muhimu za serikali, zikiwemo za Mwenge wa Uhuru na Maonesho ya Nanenane Kanda ya Magharibi.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Nanenane Ipuli Manispaa ya Tabora, Chacha amesema kitendo hicho kimeleta picha mbaya kwa umma kwani wananchi wamejitokeza kwa wingi, lakini taasisi hizo hazikuonekana kushiriki kama sehemu ya mamlaka ya serikali.

 
Huyo mbwa kama mbwa wengine tu. Huo moto wao waendelee nao vichaa waliouwasha na kuzurura nao Tanzania. Kwanza atuoneshe ni kifungu kipi Cha sheria au katiba kilichovunjwa kulipuuza hilo limoto la kueneza ukimwi na magono kwa watanzania?
 
Mikataba yao ya kazi inasemaje hapo mchawi mkataba
 
Back
Top Bottom