Huko si ndiko walikonyweshwa maji ya bendera...bado wanatumia za jadi,arusha na mwanza ukuileta zako kuna vijitu vinakaa kiunoni,alakini hata hao wanyamwezi watakua wana vijua,ni kile kidubwana yule msomali wenu wa kinyamwezi alipanda nacho jukwaani kumnadi KAFUMU kule tabora alafu matokeo yake jamaa akapokwa ubunge,duh !...ushamba mzigo kweli.