Tabora Kumekucha

Tabora Kumekucha

Liberal

Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
35
Reaction score
5
Leo Ukawa wanaunguruma hapa Tabora katika viwanja vya Town School. Wanatoa Elimu juu ya Muungano. Waongeaji wakuu no John He he na kiongozi mwandamizi wa NCCR. Watu no wengi sana jamani
 
Kinana aliondoka mguu jana leo UKAWA imetoa timu , sasa kunakucha .......
 
Pyuuuu! Tuuuu!!!
Kama bata kanya, uongo mtupu.
 
nape atapata majibu yake!! haijui historia ya Tabora yule!! kale ka mji akaaonage vile vile.
 
Back
Top Bottom