Kwa sasa kuna usafiri wa bus kutoka mwanza hadi kampala basi la Friends na Kisire kila siku yanafanya safari kati ya miji hii miwili. Lipo bus la Taqwa linafanya safari kati ya Dar na Kampala kupitia bukoba.
Ipo safari ya Kampla Juba haina usafiri wa uhakika na abiria ni wengi, umbali kutoka juba hadi kampala ni km 112 tu yaani hata dar moro ni mbali, hebu tizamani hii fursa.