TABOA: Hatutaruhusu magari

No place like Tanzania.
 
Khaa!! Hivi wanagombea nini? Mie hata sielewi
 
Khaa!! Hivi wanagombea nini? Mie hata sielewi

Halafu Kama Kawaida Yake Jamaa Huwa Akinusa Tu Kuna Matatizo Nchini Kwake ANASEPA Zake Na Sasa Wananchi Wanaumi Yeye Anakula Bata New York Na Atakuwa Huko Kwa Siku Takriban 4 Net. Kweli Watanzania TULIBUGI 2005 - 2015 Tujifunzeni!!!!!!!
 
Khaa!! Tujifunze nini sasa?? Kwani nae katanganza nia tena?:glasses-nerdy:
 
Leo tu shilingi imeshuka kwa 12 tsh kwa dola moja bado kesho! Mnaoipenda ccm poleni sana
 
Khaa!! Tujifunze nini sasa?? Kwani nae katanganza nia tena?:glasses-nerdy:

Rohombaya;
Huna habari kuwa anatamani huu uchaguzi atii usifanyike ili ajiongezeye vijisiku kidogo ka siku 365 x 2 hivi?? Hana haja ya kutangaza nia bali kujiongezeya kidwogo tu. Tu miaka tuwiliiii
 
Rohombaya;
Huna habari kuwa anatamani huu uchaguzi atii usifanyike ili ajiongezeye vijisiku kidogo ka siku 365 x 2 hivi?? Hana haja ya kutangaza nia bali kujiongezeya kidwogo tu. Tu miaka tuwiliiii
Khaa!! Hili sijawahi kusikia. Ila aliwahi kusema wazi kabisa kwamba anatamani siku ziishe akapumzike :glasses-nerdy:
 
Ebo kwa mtandao upi wa reli?

Kwa utafiti mdogo 80% ya mizigo inayotoka Dar huwa inapita kwenda nchi jirani Malawi, Zambia, Zimbabwe, Congo (RDC), Burundi na Rwanda. Rejea ramani na mitandao ya reli utapata jibu
 
Khaa!! Hili sijawahi kusikia. Ila aliwahi kusema wazi kabisa kwamba anatamani siku ziishe akapumzike :glasses-nerdy:

Hujasikia jirani yake huko magharibi. Rohombaya, uko wapi weye? Kasema hataki ila ni mahakama ndo wanamshinikiza. Huyu hapa kwetu, hataki kabisa kabisa ila kuna vitu vinampasa aendelee, 1. Katiba Bambikizwa ikipitishwa kwa kura ya ndiyoooo. 2 Nchi hii au inji hii ikiingia kwenye hali ya hatari kabla ya uchaguzi. Hawezi kuikimbia Ikulu aliyo apa kuilinda kwa vyovyote.
Namuunga mkono, hataki kabisaa ila ninyi ndo mtamfosi kuendelea kwa shingo upande kabisaaa:A S-rap::A S-rap::msela:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…