Tablet ya Tecno inauza laki w

Tablet ya Tecno inauza laki w

Tablet ya tecno inauza w.ebu malizia tukuelewe,unauza nini?
 
Nina risiti yake, alafu usikimbilie kusema neno la mwisho hivyo. Utadharauliwa, hata siku ukisema ya msingi utaonekana ovyo.
sasa wewe umeandika nusunusu ukakimbia kama mtu mwenye wasiwasi sana, tulia sasa uandike vizuri ili nawewe tukuheshimu.
 
Back
Top Bottom