Tablet PC mpya zinauzwa 350,000

kayimukaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
494
Reaction score
672
Happy valentine wakuu,
Ninauza Tablet Pc mbili mpya kabisa na orijino. Moja ina screen inch 7 kwa tsh 350,000 na nyingine
ina screen nchi 10 kwa tsh 400,000. Tablet zote zina android version 4.4.2 (kitkat), Quadcore processor (processor nne) na kila processor ina speed ya 1.6 Ghz. Napatikana dar, ubungo riverside kwa atakaependa
kuziona. mawasiliano piga sim namba 0657320316 au 0686591570. Picha nimeweka hizo apo chini. Karibuni
 

Attachments

  • IMG-20150213-WA0002.jpg
    86.3 KB · Views: 623
  • IMG-20150213-WA0005.jpg
    68.6 KB · Views: 540
  • IMG-20150214-WA0004.jpg
    114.6 KB · Views: 513
  • IMG-20150214-WA0006.jpg
    63.3 KB · Views: 506
  • IMG-20150214-WA0003.jpg
    111.4 KB · Views: 526
Picha za laptop mbna ujaweka..?weka na specifications 2ake.!
 
picha mbona nimeweka mkuu, angalia chini baada ya neno karibuni@jaslaws
 
Hizi sio laptop mkuu, bali ni tablet ambayo waweza kuitumia kama simu na pia kama laptop
 
which brand or make ?

origin of manufacture? ... clone or copy?
Moja inaitwa CHUWI na nyingine inaitwa ALL STAR, zote zimetengenezwa uchina na zote ni orijino na sio copy wala clone.
 
mbona hujibu maalon. Ongeza kidogo tufanye biashara
 
Hizo tablet zinaonekana zinatumika pale Lumumba, kueneza uzushi na propaganda za chama,katika mitandao ya kijamii.
 
Iyo ya 350 chukua 250......... Nipo serengeti mara ........ntaipataje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…