Kama huyo mwanao yupo Dar wewe hauna haja ya kwenda Dar maana yeye huyohuyo unaweza ukamwambia aende duka flani na pesa kisha anunue mwenyewe,
Dar maduka kibao wanazo ni pesa yako tu, kuna duka moja lipo Kariakoo kwa jina Midwest, lingine Ukifika Bigborn Kituocha Mafuta kwa mtaa wa pili lipo linaitwa RAM computer lingine mtaa wa Congo karibu na Offisi za Vodacom lipo duka Lingine la Wasomali pia.
Kwenye hayo maduka niliona wana Tablets pc nzuri sana Used ila bei yao ni ndefu ni kama m1 au 900,000/= Ni used lkn ni kama mpya speed nzuri hd 350GB ram 2GB, duo 2.8GHz N.K z blue tooth, Cam pen &OS Vista