tablet inauzwa 500,000/=

bei reasonable lkn na hizi sikukuu na watu kupeleka shule inakua shida mimwenyewe naitamani hiyo tab sansung lkn kalaki tatu kangu hakatoshi ww kukubali
 
ongeza hata laki moja na nusu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom