Tablet gani itanifaa?

Hahahahaha duuu kweli watu mna evidece za kutosha
 
Ungetaka hayo maisha ungeenda kusomea uandishi wa news. Sasa human anatomy na tablet wap na wapi? Afu magumash mengi mara umesoma mara dent loh
 
sijaona kipya kwenye tablet....kama hizo fedha huna pa kupeleka nisaidie mimi ndugu yangu nnashida hadi naisi kuzirai
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…