Amesema top four, na sio bingwa wa ligiUmekosea hapo juu Kabisa weka Liverpool
Amekosea kivipi wakati heading ya uzi inamtaka kila mtu kuweka utabiri wake wa top four yake?Umekosea hapo juu Kabisa weka Liverpool
Chelsea hana uwezo wa kutwaa ubingwaPasipo kupepesa na kumumunya maneno top four yangu ni
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Manchester City
hii ndiyo top four yangu lakini huenda kukawa na mabadiliko ndani mwa top four hii kuna timu zitashuka,kupanda ila licha la kupanda na kushuka top four zitabaki hizohizo 4
weka top four yako.
Ok natabiri Liverpool ni bingwa hapo vipi mkuu π πAmekosea kivipi wakati heading ya uzi inamtaka kila mtu kuweka utabiri wake wa top four yake?
Kwahiyo wewe ukiweka top four yako ndio utakua umepatia na ligi itaisha kwa msimamo utakaouweka wewe hapa?
Epl nitofauti na kombe la dunia mkuuhata ktk mashindano ya kombe la dunia alibezwa hivihivi.