Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,529
- 61,939
Kadi yako ya uanachama wa mikia ni namba ngapi vile?!?Baada ya mechi ya ngao ya jamii kupigwa, ni kiashiria tosha kuwa ligi inakaribia kuanza.
Timu zimejiandaa vizuri, kuanzia kwenye usajili wa vikosi vyao mpaka kwenye benchi la ufundi...
Tuambie namba yako ya kadi ya uanachama wa mikia...Ukweli mchungu lakini timu yangu Yanga itamaliza nafasi ya 4.
1.Simba Sc
2.Azam Fc
3.Namungo Fc
4.Yanga Sc
Mkuu mimi ni Yanga damu lakini bado hatuna timu ya kuchukua ubingwa, kwenye ukweli tuseme tu.Kadi yako ya uanachama wa mikia ni namba ngapi vile?!?
Tuambie namba yako ya kadi ya uanachama wa mikia...
Kadi yako ya uanachama wa mikia ni namba ngapi vile?!?
Tuambie namba yako ya kadi ya uanachama wa mikia...
Kwa mziki wa Yanga wa jana hakuna mpinzani.
Mkuu mimi ni Yanga damu lakini bado hatuna timu ya kuchukua ubingwa, kwenye ukweli tuseme tu.
Sasa kama huna timu ya kuchukua ubingwa povu la Nini...wewe siyo Yanga...Kama ni hivyo ni shabiki mfuata upepo...hakuna Cha Yanga damu hapo..Yanga wa ukweli ni watu makini...huwa hawaropoki na kulalamika ovyo ovyo...wewe hapo ulipo ni mshabiki oyaoyaoya ila siyo Yanga..Mkuu mimi ni Yanga damu lakini bado hatuna timu ya kuchukua ubingwa, kwenye ukweli tuseme tu.
GSM imewasajilia Yanga matatizo kwani ujue mishahara ndio litakuwa tatizo kubwa kwa Yanga.Hela za mishahara watakosa na wachezaji hawataonyesha kiwango
Mawazo ya kijinga Sana, kwa hiyo ukichukua ubingwa mara nyingi unaacha kwanza miaka kadhaa?Yanga kwasasa changamoto zake si vikombe vya Tanzania, Hakuna kikombe chochote apa nchini kinacho simamiwa na Tff ambacho Yanga haongozi kwa kukichukua. Changamoto za Yanga ni kimataifa apa ndani Simba ndio wanatakiwa kupambana kufikia mafanikio ya Yanga.