LaVictoria
Member
- Jul 23, 2016
- 11
- 79
Mbona umeambiwa wapo kwenye majaribio.Isije ikawa kama channel moja hivi yenye rangi ya kijani baada ya kutolipia kingamuzi chaneel zoote zimefutwa na kubaki hiyo moja tuu. Changamoto
1. Muda wote ni muziki
2. Muda wa asubuhi wapo bize na filim na muziki badala ya hata kuchambua yliojiri kwenye magazeti
3. Filim zaio nyingi ni PGA yaani zinahitaji usimamizi wa wazazi mbaya zaidi vipindi hivyo vinawekwa wakati wa mchana sasa muda huo nadhani wazazi wapo makazin.
Wapo kwenye signal test mmiliki wa gazeti ndiye anayemiliki TV pia na siye Dr Mwaka kutakuwa na vipindi tofauti tofauti sio tiba mbadala tu.Promo
Kuna mpaka gazeti la Tabibu japo sijawahi nunua