Tabia za wenye magari

OLESAIDIMU MANI Kaizer njooni muone kuna mtu anaanzisha ugomvi huku........

eti wenye magari jamii ya taxi, vigari vya kuchezea watoto, magari ya kubebea maiti duh watu wana matusi!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

mkuu,ukimaliza wa magari nitaje na mimi wa bodaboda na guta
 
Mtoa mada na wenye pickups kana Amarock Navara na nk?
 
price ya gari, plus status yake , no inayaomfanya mtu a-behave vipi barabarani, huwezifanya ujinga kama unaendesha lets say Dorge caliber, kwa sababu taa moja ni awa na body zima la gX100
 
unababaika na jina....hio gari ni very cheap!!!! brand new mark x costs almost twice zaidi
 
OLESAIDIMU MANI Kaizer njooni muone kuna mtu anaanzisha ugomvi huku........

eti wenye magari jamii ya taxi, vigari vya kuchezea watoto, magari ya kubebea maiti duh watu wana matusi!!!!!!

Kaka nilijua tu hii utakuha JF nimeiona sana ikizunguka wozap

Cc Preta
 
Last edited by a moderator:
Kaka nilijua tu hii utakuha JF nimeiona sana ikizunguka wozap

Cc Preta

Same here........nimeiona huko na nimeitafuta sana hapa........lakini nimefurahi ulivyoniita........ila hawajaweka my lovely Land rover Puma na Amarok.........sasa sijielewi nipo wapi.......
 
Last edited by a moderator:
Same here........nimeiona huko na nimeitafuta sana hapa........lakini nimefurahi ulivyoniita........ila hawajaweka my lovely Land rover Puma na Amarok.........sasa sijielewi nipo wapi.......

Hapo upo kwrn SUV chezeya Bashnet wewe
 
Tunaoride na malamboo na mabugatii(in chuga boy's voice)
 
OLESAIDIMU MANI Kaizer njooni muone kuna mtu anaanzisha ugomvi huku........

eti wenye magari jamii ya taxi, vigari vya kuchezea watoto, magari ya kubebea maiti duh watu wana matusi!!!!!!

Hii ya maiti ndio kaua kabisa afadhali hata G Sam hakufika huko.
 
Last edited by a moderator:
Same here........nimeiona huko na nimeitafuta sana hapa........lakini nimefurahi ulivyoniita........ila hawajaweka my lovely Land rover Puma na Amarok.........sasa sijielewi nipo wapi.......

umetisha...kama ligi PREMIER.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…