Tabia za wanawake siku hizi

ABDUL JIRANI

Senior Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
176
Reaction score
52
Hii yabia ya wanawake ya kila ukiongea nae ni lazima amalize maongezi kwa kuomba salio itaisha lini, au hawa magirl wanagikilia mabouz tunatembea na ATM
 
umesoma ulichoandika ??
 
Sasa unataka watu wengine awatafute vipi?! Embu tuma salio hilo acha kulalamika.
 
Jibu lilikua simple kumuuliza aliekuomba salio hilo swali lako basi
 
Mtoa uzi ulikuwa unakimbizwa, ukimaliza mbio tuwekee vizuri bandiko lako.
 
Binadamu hatuishiwi malalamiko.Na wasipoomba tutarajie nyuzi tele kumwagwa humu,mwee!
 
Hii yabia ya wanawake ya kila ukiongea nae ni lazima amalize maongezi kwa kuomba salio itaisha lini, au hawa magirl wanagikilia mabouz tunatembea na ATM
Masikini mkubwa wewe umeishiwa na karibu mjini


swissme:
 
aisee kila mwanamke ukitongoza siku ya kwanza tu ya pili mara simu yangu inasumbua mara nina shida ya elfu 50, wengi hawajajitambua wanadhani nanilii*** yao ni kwa ajili ya kuchumia pesa. tumeshtuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…