Tabia za wanaume wa miaka 90's

Utafiti wako umeufanyia wapi labda wanaume wa dar mana wao na kahawa, stor hawajambo
 
Kweli kabisa, dingi yangu mkubwa ilikuja kufahamika ana king'asti nje mtoto wa kwanza akiwa form six na hakuwahi kuonesha tofauti yoyote kwa bi mkubwa.
 
Kuchepuka na kuegemea upande wa mchepuko usababishwa ni vitu vingi haswa makelele, na kufanya kila jambo kwa mazoea wanaume wengi sio waongeaji ila utafuta faraja sehemu nyingine hapo mwanzo wa matatizo
 
Very true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…