Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,444
- 7,980
IpoTanzania sjaona boss
Huo ulikuwa ni mfano tu ni kweli wengi lakini pia wasiojua kusoma wala kuandika nao ni wengi zaidiWa3 tu!!!, Lkn mbona mtaan degree zimejazana!
Upo nje ya madaJinsia yako tafadhali! ili kuweka tu kumbukumbu sawa kwa siku za baadae.
Number 1 umewasahau Rwandese1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".
2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - Wasenegal.
3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao. Chama cha kutetea haki za wanaume hadi sasa kina wanachama laki 8).
4. Wanaume wanaosali zaidi Afrika - Wasomali (kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5 kila siku. Hata katikati ya vita huwaachi kuswali).
5. Wanaume matapeli zaidi Afrika - Wanigeria (kati ya wanaume 10 wa Nigeria, 6 ni matapeli wa kutupwa. Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu).
6. Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika - Wakongo (hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke. Wanaitwa "Mario").
7. Wanaume wasomi zaidi Afrika -Washelisheli (Sychelles). Kila wanaume 100, 40 wana degree. Tanzania kila wanaume 100 watatu wana degree.
8. Wanaume washamba zaidi Afrika - Waeritrea (ukienda kanisani/msikitini na gari jipya wanaahirisha kusali washangae gari kwanza).
9. Wanaume wachawi na Washirikina zaidi Afrika - Wagambia (Rais wao Yahya Jammeh hutumia waganga na wapiga ramli kama sehemu ya walinzi wake).
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".
2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - Wasenegal.
3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao. Chama cha kutetea haki za wanaume hadi sasa kina wanachama laki 8).
4. Wanaume wanaosali zaidi Afrika - Wasomali (kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5 kila siku. Hata katikati ya vita huwaachi kuswali).
5. Wanaume matapeli zaidi Afrika - Wanigeria (kati ya wanaume 10 wa Nigeria, 6 ni matapeli wa kutupwa. Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu).
6. Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika - Wakongo (hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke. Wanaitwa "Mario").
7. Wanaume wasomi zaidi Afrika -Washelisheli (Sychelles). Kila wanaume 100, 40 wana degree. Tanzania kila wanaume 100 watatu wana degree.
8. Wanaume washamba zaidi Afrika - Waeritrea (ukienda kanisani/msikitini na gari jipya wanaahirisha kusali washangae gari kwanza).
9. Wanaume wachawi na Washirikina zaidi Afrika - Wagambia (Rais wao Yahya Jammeh hutumia waganga na wapiga ramli kama sehemu ya walinzi wake).
Sent using Jamii Forums mobile app
Easy..nyie mnaangukia no 6Wanaume tusiosikia tukiambiwa tutolea nje mbona atupo hapo?
Hahahahahahaaa nacheka mieJinsia yako tafadhali! ili kuweka tu kumbukumbu sawa kwa siku za baadae.
Kwalweli.Naomba connection no 2
Wanafiki zaidiTanzania sijaona boss
Mtaani wapi mkuu Dar na Dodoma? Nenda vijijini hukooo...Wa3 tu!!!, Lkn mbona mtaan degree zimejazana!