Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,283
- Thread starter
-
- #21
No 4 yes1. Wavivu
2. Wachafu
3. Wachoyo (hapa ndugu zako lazima wakutenge kutokana na mwanamke huyo)
4. Wanaridhika na kitu kidogo sana. Akipata 20k leo mpaka iishe ndio aanze kutafuta.
Huo ni uhakika.
No 1 yes1. Wavivu
2. Wachafu
3. Wachoyo (hapa ndugu zako lazima wakutenge kutokana na mwanamke huyo)
4. Wanaridhika na kitu kidogo sana. Akipata 20k leo mpaka iishe ndio aanze kutafuta.
Huo ni uhakika.
Hii sio kwrliUkimwoa mgogo tarajia ukoo mzima kuhamia kwako, sio hard workers na pia wanapenda kuomba omba sana
Siyo wavumilivu hata kidogo, hawana aibu yoyote kwa swala la kuombaHawajipendi,wavumilivu akipenda kapenda hata umfanyie vituko gani usifikiri ataingia mitini labda uamue kumfukuza,ila kusaliti sio wagumu anaweza kuwachanganya marafiki zako na usijue na hii ni kuwa wako loyal mpaka huwezi mdhania,wanyenyekevu,wagumu akiamua kufanya shughuli inayoleta maendeleo huwa hawakati tamaa hasa kwenye biashara,kilimo au ufugaji,pia wanapenda pombe...
Wewe unawajua hiyo No.3 ipo katika damu nadhani wanafundishwa au wanaiga kutoka Kwa wazazi wao, halafu waroho, wanapenda kupewa kweli, yaani ukioa utashangaa huna ndugu kumbe wanachofanyiwa hawawezi kukuambia, pia ukigombana naye siku ya pili au ya tatu lazima akuage anakwenda kijijini kwao akirudi huna ujanja tena jibu lako kwake ni ndio. Atakuwa mcheshi mdomoni si moyoni1. Wavivu
2. Wachafu
3. Wachoyo (hapa ndugu zako lazima wakutenge kutokana na mwanamke huyo)
4. Wanaridhika na kitu kidogo sana. Akipata 20k leo mpaka iishe ndio aanze kutafuta.
Huo ni uhakika.
Sawa kabisa. Nimeishi nao sana nawafahamu.Wewe unawajua hiyo No.3 ipo katika damu nadhani wanafundishwa au wanaiga kutoka Kwa wazazi wao, halafu waroho, wanapenda kupewa kweli, yaani ukioa utashangaa huna ndugu kumbe wanachofanyiwa hawawezi kukuambia, pia ukigombana naye siku ya pili au ya tatu lazima akuage anakwenda kijijini kwao akirudi huna ujanja tena jibu lako kwake ni ndio. Atakuwa mcheshi mdomoni si moyoni
Umesha mnyandua au badoKuna mmoja hapa naweza mnyandua muda sio mrefu