Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Ahahaha! Mimi huwa napenda maneno yako na lugha unaoitumia pamoja na hiyo nikabu yakoAvatar ya member inaruhusiwa??

Maana amini usiamini Chatu dume nakufahamu

sababu ya hio Avatar.. hua nakuangalia sikumalizi...
Mkuu, Rweye angalia bandiko la mkuu Genekai, kaelezea vizuri sana jinsi ya kujua tabia za members humu JfUtajuaje undani wa tabia ya mtu kwa kusoma na kuandika hapa jf...kama unaishi na mtu miezi6 bado hujaweza kujua tabia zake utawezaje kuijua ya aliyeko mbali nawe?hebu simplify mada yako twende sawia mjomba Chatu!
You can always read between the lines na utaelewa tabia zetu, binafsi kwa threads, posts, signatures na avatars huwa natengeneza picha ya mtu. Nilmefanya hivyo mara kibao na mwisho wa siku nimekutana na baadhi ya members wa hapa na kukuta kuwa nilikuwa sijakosea sana. Just click your intuition na utawaelewa tu ila yaweza kuwa ni kipaji cha intuition. Ni hayo tu!

Ahahaha! Mimi huwa napenda maneno yako na lugha unaoitumia pamoja na hiyo nikabu yako
Mie nimekufa nimeoza juu yako :rapture:
ha ha ha... Chatu hapo kwenye blue... Kiswangilishi ndio hukufurahisha...lol utanifanya nikasome na Spanish pia....
usife bado tunakuhitajiMimi hua zinaniua comment zako bibie...
Ahahaha! Takuletea zawadi ya nikabu!
usife bado tunakuhitaji
Karibu!Mie nimekufa nimeoza juu yako :rapture:
Mimi hua zinaniua comment zako bibie...
Mie unavyoweza kukabiliana na mibaba ya humu ndani na kuitoa knock out nakuaminia sanaa
ha ha ha... M Roza utakua umenichanganya na pacha yangu FF....
mimi ni full mapenzi na most wababa wa humu ndani...lol/QUOTE]
Ahahah FF sijamuona yupo!
Ahahah FF sijamuona yupo!