Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Na wasukuma pia.Vipi lakini ushapanda basi limejaa wamasai? Utajutaa.
Let's meet at the top, cheers 🍻
Bora wawili, niliwahi kukaa na mama ana watoto watatu imagine, halafu kakata siti moja tu! Ilibidi tu nimuelewe tubanane hivyo hivyo na kupakata mmoja maana hakukua na namna.Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja...
Bora wawili, niliwahi kukaa na mama ana watoto watatu imagine, halafu kakata siti moja tu!!!
Ilibidi tu nimuelewe tubanane hivyo hivyo na kupakata mmoja maana hakukua na namna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wale matumbo mpakile, yakipita mahindi ya kuchoma twende, ya kuchemsha twende, mayai twende, sijui biscuit mpaka inakua kero though pesa ni zao.
Let's meet at the top, cheers 🍻
Hahaha! Umenikumbusha beki tatu mmoja nilikjwa natoka Mtwara sasa ile asubuhi gari ikasimama maeneo ya Mnazi Mmoja Lindi kama saa tatu asubuhi hivi, sasa yule beki 3 akanunua miwa ya 1000 ambayo haijamenywa, nilidhanilabda ni zawadi huko aendako,Watu wanakula hadi miwa too little