Tabia ya wanawake kuringa na kujisikia

Kwani kutongozwa ni zambi?mpaka umbinulie midomo mtu wanawake wengi wanaomba wapate hiyo opportunity ya kutongozwa wanaikosa ndio maana wadada wengi wanajiremba na kuvaa mavazi ya ajabuajabu unafikiri ili iweje?


Ni jambo lisilo la lazima. hivyo msilazimishe salamu na mitongozo kisa si dhambi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wakaka hawakuepo?
ungewauliza wakaka wenzako
Huyu anatakiwa akijipendekeza tu kuuliza swali anajibiwa na kizinga cha maana.

Kaka: "Samahani dada. Habari za saa hizi. Wewe mwenyeji kidogo hapa?"

Dada: "Salama tu. Mi si mwenyeji ila nimekuja kumtembelea dada na yeye ninemkuta hayupo, halafu natokea mbali Kiwalani na nauli nilikuwa namtegemea Dada na nimekuja kumuomba ada ya kaka yetu zinatakiwa laki tatu. Na hapa hata kula sijala. Unaweza kunisaidia hizo laki tatu na hela ya chipsi? Kaka yetu kafukuzwa shule yani nashindwa hata kujua tutafanyaje"

Atakoma mwenyewe kuwaparamia wanawake asiowajua.

Mi enzi za ujana nishawahi kumsalimia demu mara ya kwanza jibu lake anataka zawadi ya birthday.

Nikakoma ubishi mwenyewe.

Hata kama nataka kukununulia zawadi, si inabidi nikujue kwanza nijue unapenda zawadi gani?

Kitoto kimodo kimodo kweli. Lakini kwa mwendofasta ule, nikaogopa ajali.

Hata jina la kuandika kwenye kadi sijajua unaomba zawadi tayari?
 
Kinachomfanya mwanamke aoge aende saloon anunue nguo nzuri ajichubue atembee kwa maringo ni uwepo Wa wanaume,sio wewe ndio unapaswa kulinga sio wao.

Wasipotongozwa lazima kesho umkute kwa mshana Jr au mti mkavu!
 
Hahahahaha huuuu

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 


Ha ha ha a
Mie huwa nawaletaaa akifikia kwenye namba ya simu naombaga Iphone
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo lisilo la lazima. hivyo msilazimishe salamu na mitongozo kisa si dhambi
salamu na mitongozo matunda yake ndio ndoa na watatu kama siyo hiyo kitu hata wewe usingezaliwa hiyo ni process muhimu katika mahusiano
 
Hahaha........u made my day!!!!waache waringe bwana wakati wao huuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent from my HUAWEI Y550-L01 using JamiiForums mobile app
 
duh..binafsi sijawah kupatwa na swaibu kama Hilo,yan kumuuliza mtu njia tu ndo akubinjulie domo kweli?
wapo aisee ni jana tu nimekutana na mdada nikamsalimia tu mambo vp khaa! amenipita mkavu mkavu nikaona isiwe tabu hivi wadada mnakuwaga mna maana gani mbona mnakuwa complicated sana
 
Ha ha ha a
Mie huwa nawaletaaa akifikia kwenye namba ya simu naombaga Iphone
Kama ulivyomuomba yule jamaa[emoji1] (kidding)

Ila kwa hii njia yako inamaanisha yeyote anayeweza kukupa iphone utafall kwake.
 
Kama ulivyomuomba yule jamaa[emoji1] (kidding)

Ila kwa hii njia yako inamaanisha yeyote anayeweza kukupa iphone utafall kwake.

Nahakika jeuri ya iphone7 hawana
 
huwezi kukuta kijana kama sharobaro anafanyiwa hayo,ila hufanyiwa watu wazima wenye uelewa wa mambo ndo maana kama umeona mtoa habari kazungumzia hilo katika mazingira fulani ila sharobaro kila siku wapo nae mtaani atadenguliwaje sasa?
Sharobaro?? Unamaanisha nini?
Yani mtu mwenye muonekano maridadi ni sharobaro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…