kuku_msela
Member
- Jun 12, 2017
- 10
- 24
Mkuu umeongea point kweli umenifumbua fikra kumbe sio makosa yao lakini mbona wanaume sisi hatupo hivyo au sisi hatuna stress na hatutumbuliwi?Pole saana kwa masahibu yaliokukuta.
Watu wana stress sàna, wengine wamekopwa penzi, wengine wametumbuliwa na jpm, matatizo kibao.
Sometimes unasamehe bure
Kweli mkuu upo sahihi lakini hii wao imekua too much kiongozi kwani salama zinawamaliza damu au zinawapa ujauzito?Mzee Baba pambana na hali yako.. Huenda ikawa ndo kikwazo cha kutoitikiwa hzo salamu
Ilikua ghafla dada yangu, lakini ukiishi kwa itifaki hizo, utakua sio rafiki wa muda na utakosa vitu vingiKwani wakaka hawakuepo?
ungewauliza wakaka wenzako
Hujakutana na watu waliona maswahibu.Mkuu umeongea point kweli umenifumbua fikra kumbe sio makosa yao lakini mbona wanaume sisi hatupo hivyo au sisi hatuna stress na hatutumbuliwi?
HahahaMzee Baba pambana na hali yako.. Huenda ikawa ndo kikwazo cha kutoitikiwa hzo salamu
Ilikua ghafla dada yangu, lakini ukiishi kwa itifaki hizo, utakua sio rafiki wa muda na utakosa vitu vingi
Mi Niliingia Exim Bank Nyerere Road Branch Nilipeleka Makabrasha Flani Kwa Meneja, Meneja Akaniongoza Kwa Mdada Mfanyakazi Wa Humo Eti Yule Dada Ananiambia Fungua Hiyo Barua Soma Inahusu Nini? Khaaa Nikamwambia Chukua Usome We Si Ndio Kazi Yako? Tulibishana Kwa Ujinga Nikamwambia Mi Nimeishia Darasa La Saba Sijui Kiinglishi Ila Huyo Bosi Wako Ananiheshimu Nikawa Naondoka Nikamwambia Dada Utafukuzwa Kazi Ukapike Matembele Kwenu Kwa Ujinga Wako! Samahani Nyiiiingi, Siku Hiyo Wamekuja Ofisini Kwetu Akaelekezwa Kwangu Kuniona Tu............Hahahahaaaa Alikuwa Mpole Kama Ana Vyeti Feki Vile . Wadada Acheni Dharau Mnachelewa Kuolewa Kwa Ujuaji Wenu
Akili zenu ndo zinavyowaambia hvyo....punguzeni akili za vyegeTatizo huwa mnazani wadada hatuna mawazo,unaongea na MTU anakuangalia ila mawazo yake yapo kibiti,alafu ilo shwala la kusema wadada wakiitwa tu wanahisi kutongozwa sio kwamba tunahisi ila ndo ukweli ukiitwa na wanaume kumi ujue Tisa watakutongoza au wote kabisa.