Mkuu niliwahi kuwa na bint mzuri sana na nikaenda mpaka kuishi nae Mozambique ila nilimuacha kwa sababu hyo yaani kwa kununa ye ndo chronic! Anaweza akanuna siku 7 kisa tu kaota ndoto amekufumania!!Wakuu hakuna kitu kinanikera kama mtu kujinunisha pasipo sababu ya msingi...
Sasa huyu mke wangu mnaweza mkaamka asubuh vizur tu mnacheka ila baada ya muda atanuna tu hata ukimuongelesha hajibu....
Kiukweli huwa nakereka sana...
Ebu tupeane uzoefu wakuu hii tabia mnaikomesha vipi??
Dah kazi sana kuishi na hawa watu..Mkuu niliwahi kuwa na bint mzuri sana na nikaenda mpaka kuishi nae Mozambique ila nilimuacha kwa sababu hyo yaani kwa kununa ye ndo chronic! Anaweza akanuna siku 7 kisa tu kaota ndoto amekufumania!!
It's more than adviceIt's an attention seeking behaviour, it shows a failure to communicate. Hii ina-apply kwa gender zote
Mwambie its a bad habit, kama kuna jambo in her mind, akwambie instead of resorting to silent treatment. You are not a mind reader
Naomba nikupe Mji Kaka!!Mkuu niliwahi kuwa na bint mzuri sana na nikaenda mpaka kuishi nae Mozambique ila nilimuacha kwa sababu hyo yaani kwa kununa ye ndo chronic! Anaweza akanuna siku 7 kisa tu kaota ndoto amekufumania!!
Hanuni ndio atatia akili atajua kosa lake,wifi yangu alikua nayo tabia hiyo ya kununa hata akija nyumbani na mumewe atacheka vizuri mara ghafla unamuona kabadilika sasa uzuri Bro hua na mtu mcheshi sana, akawa anamwambia wewe vp unanini?Si ndo atanuna zaidi...
True mkuuIt's an attention seeking behaviour, it shows a failure to communicate. Hii ina-apply kwa gender zote
Mwambie its a bad habit, kama kuna jambo in her mind, akwambie instead of resorting to silent treatment. You are not a mind reader
Unashindana na mwanamke?MKUU BANA HAO NDO WAKO HIVYO SIKU ZOTE,KITU KIDOGO TU MWANAMKE ANANUNA.
Dawa ni moja akinuna na wewe nuna ataanza kukusemesha tu.Akicheka na wewe cheka
Mkuu tatizo lenu wakati mwingine mna makusudi,mtu unanuna bila sababu unategemea mimi nikuchekee tu?Dawa ya moto ni motoUnashindana na mwanamke?
Dam right. Tena amwambie awe straight aseme.. hamna ana muda wa kubembeleza mtu mzima ambae hataki kusema kinacho msumbuaIt's an attention seeking behaviour, it shows a failure to communicate. Hii ina-apply kwa gender zote
Mwambie its a bad habit, kama kuna jambo in her mind, akwambie instead of resorting to silent treatment. You are not a mind reader
Mwanamke ni zaidi ya umjuavyoWakuu hakuna kitu kinanikera kama mtu kujinunisha pasipo sababu ya msingi...