Kwani anavyokuja kwako usiku huo baba anakuwa ameenda wapi? Chunga mama anataka kukuibia huyo!! Au kama sivyo na kama baba anakuwa hayupo basi atakuwa anataka msagane!!nafanya nae kazi sehemu moja mama na familia yake, lakini anaweza kunipigia simu kuwa atakuja kwangu kunisalimia siku ya weekend, basi nitakaa mchana wote haji ikifika saa 4 usiku ananipigia simu vipi umeshalala? mimi niko hapa nje kwako, mara mbili kanifanyia hivyo na akiingia ndani hana haraka ya kuondoka, juzi jumapili kanifanyia hivyo sikumfungulia na nikazima smu, jana nimefika ofisini namsalimia kanuna, waungana nisaidieni huyu mwanamke mwenzangu anania gani ni kunisalimia tuu tena usiku usiku au mi simwelewi? na anajua mimi ni mke wa mtu
Kwani anavyokuja kwako usiku huo baba anakuwa ameenda wapi? Chunga mama anataka kukuibia huyo!! Au kama sivyo na kama baba anakuwa hayupo basi atakuwa anataka msagane!!
Sidhani kama unahitaji rafiki wa namna hiyo,kununa kwake kumekusaidia.mama wee huwamume wangu akija nae kukaa na mimi anasema shem kalale tuu, akiondoka ananiambia na wewe huyu mtu wako umemzoesha vibaya kweli mambo mengineya siri nakuja kuongea hatakiwi kuyasikia, ila hayo mambo ya siri sijawahi kuyasikia akiniambia zaidi ooh umeona movie fulani ya kinaigeria atanihadithia mwanzo mwisho, mi namshangaa tuu kwakuwa haina maana kuniadithia muda huu wakati kazini nakutana nae muda mwingi ataweza kuniambia hayo mambo
mama wee huwamume wangu akija nae kukaa na mimi anasema shem kalale tuu, akiondoka ananiambia na wewe huyu mtu wako umemzoesha vibaya kweli mambo mengineya siri nakuja kuongea hatakiwi kuyasikia, ila hayo mambo ya siri sijawahi kuyasikia akiniambia zaidi ooh umeona movie fulani ya kinaigeria atanihadithia mwanzo mwisho, mi namshangaa tuu kwakuwa haina maana kuniadithia muda huu wakati kazini nakutana nae muda mwingi ataweza kuniambia hayo mambo
Huyo kapitia sehemu kugegedwa,sasa anakuja kwako kupoteza lengo ya kwamba alikuwa kwako....
nafanya nae kazi sehemu moja mama na familia yake, lakini anaweza kunipigia simu kuwa atakuja kwangu kunisalimia siku ya weekend, basi nitakaa mchana wote haji ikifika saa 4 usiku ananipigia simu vipi umeshalala? mimi niko hapa nje kwako, mara mbili kanifanyia hivyo na akiingia ndani hana haraka ya kuondoka, juzi jumapili kanifanyia hivyo sikumfungulia na nikazima smu, jana nimefika ofisini namsalimia kanuna, waungana nisaidieni huyu mwanamke mwenzangu anania gani ni kunisalimia tuu tena usiku usiku au mi simwelewi? na anajua mimi ni mke wa mtu