Duh! poleni dadazetu kwa kupenda kuishi maisha ya Maria Sarapova while nyie chokest tu!
wengine waliozaliwa vijijini mmmmmh! ndio usiseme! hata kutaja kwao hawataki na wanajifanya hawapandi
daladala eti njoo unichukue na ur private Car . . . Mara naomba hela ya Salon, nataka kwenda Zanzibar,
tukatembelee Serengeti mmmh! wavyuoni ndio balaaa wanataka uwalipie ada pia na hela za matumizi juu! je hamna wazazi or walezi wenu? hela za bodi ya mkopo mwapeleka wapi?
Msiwasumbue Boyfriends zenu kwani kama ni mapenzi mna-share wote the same
Naomba kuwasilisha . . .