Huu ni ustaarabu wa kawaida tu. Hauhitaji Uwe Mbantu,mjapani,Mzungu wala muhundi mwekundu. Achana na fikra za koloni mgando ya kwamba kila afanyalo mzungu yuko sahihi.Wazungu hua wana utaratibu mzuri sana, ambao mimi nimeamua kuiga. Mnapoenda restaurant ama sehemu yoyote basi kama yupo vzr atasema - feel free to order. Bill ikitoka atalipa kila kitu bila hiyana. Pia km hakujiandaa vzr basi atasema - I will pay for 1, na anamwambia waiter/waitress 'separate orders please'. Hapo inabidi ujiandae kujilipia, km hauna ela unashinda njaa.
Sisi kilichotuharibu ni fikra za ujamaa. Haiwezekani wewe siku nzima upo juani unahenyeka, jitu jingine lipo kivulini linakula kiyoyozi, afu jioni ikifika wote mnakula pamoja jasho lako.
Nafikiri kuna baadhi ya Wahudumu huwa wanafanya kusudi kwa kuleta bill pamoja inawezekana ni Uvivu au kwa malengo ya kupiga cha juu hapo. Kuna sehemu hapa Dar huwa nikienda tukiwa pamoja na marafiki mnapokuwa tayari kulipa,mhudumu huwa anauliza niunganishe bill pamoja au kila mtu na yake?Habari Zenu wana jamvi,
kuna tabia inakera sana. utakuta umetoka lunch Au Dina na watu unaofahamiana nayo. muda wa kùla ama kunywa chochote anaagiza tu tena vya bei kubwa. bili ikija anajikausha mchange nyie Alafu cha mwisho kinachobakia kidogo ndio alipe yeye.
1. sipendi tabia ya KULIPA bili kwa kuchangia
2.ni bora kila mtu Alipe kulingana na alichokula hata kama mmekaa wote
3. wahudumu waache tabia ya kuchanganya bili, wampe kila mtu yake.
4. tabia ya kujivunga wakati wa kulipa bili sio nzuri kabisa.
Je wewe unaonaje??
Hahahahahaaaa...Jiwe gizani ukisikia pwaa....
I see, nadhani mimi na wewe tumechongwa kutoka kwenye mti mmoja. Mimi huwa naiandaa kabisa pesa yangu, naagiza nikiwa nimeishika na nina uhakika kuwa inatosha. Akileta tu chakula anapewa hela yake, ili hata nikitaka kuondoka nisibughudhiwe...Mimi huwa nasoma menu naagiza kabisa na kulipia chakula changu nikimaliza nabaki nawaangalia wanavyotegeana kulipa
....Mapovu ya nini sasa? Anachosema ni kweli bili ikija badala ya kuigawa ili kila mtu alipe kuna wengine wanachuna tuu . Wazungu hawana hizo.Huu ni ustaarabu wa kawaida tu. Hauhitaji Uwe Mbantu,mjapani,Mzungu wala muhundi mwekundu. Achana na fikra za koloni mgando ya kwamba kila afanyalo mzungu yuko sahihi.
Huu ni ustaarabu wa kawaida Kama unavyoenda Chooni ukajitawaza na Maji wakati hao jamaa zako "wazungu" wanajipangusha na makaratasi.
Jitafakari Msomi.
Ukisikia mamaaa ujue limempata huyo. Ukute ndio tabia yake.....Mapovu ya nini sasa? Anachosema ni kweli bili ikija badala ya kuigawa ili kila mtu alipe kuna wengine wanachuna tuu . Wazungu hawana hizo.